Powered By Blogger

Saturday, January 16, 2010


hapa ndio greda likiwa linafukua kutafuta  kutoa vilivyomo ardhini

mama akiwa amepoteza dira hatamani tena kuishi kwani amepoteza kila kitu familia makazi na hajui aende wapi baada ya tetemeko hilo
huku wengine wakiendelea kuhaha huku na kule kuona ni jinsi gani ya kufanya ama kweli inauma sana yaani

hebu cheki junsi hilo tetemeko lilivofanya mazingira yaka na hali ngumu zaidi

Tuesday, January 12, 2010

unene unatesa wengi eehe hebu cheki huyu bonge alivokua akitaka kupunguza kilo kwa nguvu minadhani unatakiwa ujikubali mwenyewe kwanza na ukitaka kupungua kama mwili hautaki kupungua hautopungua pia ujukubali kwamba wewe ni bora kamwe hautaona kero kamwe na jinsi ulivyo.
Jamani nilishangaa kuona ajari ya treni ilikua mbaya sana na watu wengine walikua wamejeruhiwa kidogo na wengine walipoteza maisha yao papo hapo kwakweli inasikitisha sana sijawahi kuona toka nijue treni hebu ona jamani

Thursday, December 10, 2009

HABARI

Mambo wasomaji wa blog napenda kuwataarifu wasomaji wato kwamba nitakuwa natoa nafasi kwa yule mwenye mada au kitu chochote ambacho tunnaweza kukijadili pamoja na kupeana ushauri kuhusu maisha namambo mbali mbali yanayoendelea duniani kote na yasiwe ya kumtusi mtu wala kudhihaki serikali yetu zaidi ya kukosoa nakaribisha oni la kila mmoja atakayevutiwa na blog yangu na napenda kuwaalika wadau wa blog kuniunga mkono pia Ahsanteni na karibuni Frozy Adinani