Powered By Blogger

Sunday, February 28, 2010

Kumbe kuongeza maziwa sio lazima unywe dawa za mchina kuna upasuaji pia

mwanzo alikua hivikabla ya upasuaji

Hapa  anapimwa ili kujua anatakiwa awekewe ziwa na saizi gani

2 comments:

MARKUS MPANGALA said...

Mmmmmmhhh

Anonymous said...

Wanawake mna nini jamani yakiwa makubwa mnatumia madawa yanakua madogo kama binti bikra hata hapendezi mwanamke kuwa na vimaziwa hivyo, wengine yakiwa madogo au wastani madawa tena yawe makubwa kusema kweli hamna kazi ila ni upumbavu tu huu.