Powered By Blogger

Thursday, December 10, 2009

HABARI

Mambo wasomaji wa blog napenda kuwataarifu wasomaji wato kwamba nitakuwa natoa nafasi kwa yule mwenye mada au kitu chochote ambacho tunnaweza kukijadili pamoja na kupeana ushauri kuhusu maisha namambo mbali mbali yanayoendelea duniani kote na yasiwe ya kumtusi mtu wala kudhihaki serikali yetu zaidi ya kukosoa nakaribisha oni la kila mmoja atakayevutiwa na blog yangu na napenda kuwaalika wadau wa blog kuniunga mkono pia Ahsanteni na karibuni Frozy Adinani

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ngoja niwe wa kwanza asante sana kwa mwaliko wako.Karibu sana kwenye uwanja wa kublog dadangu.

frozia adinani said...

Ahsante sana dada angu mpendwa na pia ningependa uwe mshauri wangu katika haya masuala ya hizi kazi zetu kwani mimi nimgeni kwa wanablog hivyo basi naomba pale unapoona nahitaji kukosolewe usisite kunikosoa ili nijifunze kutoka kwenu
Frozy

Shein Rangers Sports Club said...

Napenda kuchukua nafasi hii kuwa wa pili baada ya dada yetu Yasinta kukupongeza na kukushukuru kwa kutoa mwaliko kwetu. Shein Rangers ipo tayari kufanya kazi/kusaidiana na wewe kwa yote yale yaliyopo katika uwezo wetu na uzoefu wetu.
Karibu sana tushirikiane.

frozia adinani said...

Ahsante sana kwakunikubali kuwa mmoja wenu katika uwanja wa wanablog na pia naamini tutashirikiana kwa upendo na amani katika utendaji wetu (japo bado sijaanza kuwaletea vitu vingi na vizuri ila nawaahidi kufanya vizuri na sitowaboa hata kidogo
Frozy

Yasinta Ngonyani said...

Usikonde ndugu yangu wakati wote niwezapo tutasaidiana tu. karibu sana.